Tuesday, April 14, 2015

MY PROJECT: MAPAZIA NA BOMBA ZA MAPAZIA...SITE YA MBEZI BEACH

Hii  pia ni kazi yangu......Fancy Home Decor*....nliyoifanya kwa mteja wangu wa Mbezi beach... ambaye pia nlimfanyia kazi ya ku decorate rangi nyumba yake na kumtengenezea L shape Sofa set.

Ni kazi ya mapazia...na bomba za chuma za kuwekea mapazia...Curtains & Double curtain #rods...

Nili design na kufunga mapazia double... hayo ya mbele na hayo mepesi au shear curtains...

Hapa kwenye picha tutaona jinsi ilivyokuwa BEFORE na AFTER ya ku design na kumfungia curtain rods...pamoja na mapazia mapya.

Karibuni sana kuweka oda...kwa pazia nzuri za kisasa
Call +255 0712 023102


 Kindly follow us @ Instagram @ fancyhomedecor

Curtain rods & holdbacks tulizofunga....pamoja na mapazia niliyo design....hapa ni sebuleni
Ilivyokuwa BEFORE....na AFTER ya kuweka mapazia mapya kutoka Fancy Home Decor....tulibadilisha curtain rods za zamani za mbao na kuweka mpya za chuma
Huo mtungi wa red pamoja na hizo puff 2 za yellow & blue pia ni kazi yangu....
Dinning room....
Related Posts Plugin for Blogger...