Cleaning and Organizing


LAUNDRY ROOM
Hiki ni chumba special kinachotengwa kwa ajili ya usafi wa kufua nguo kwa kutumia mashine za kufulia nguo au washing machines. 

Matumizi ya washing machines inategemea sana na mtumiaji husika. Baadhi yetu wakifua nguo kwa mikono wanachubuka mikono...yumkini ni aina ya sabuni wanayotumia lakini pia maumbile ya mtu yanachangia sana. Wengine ni wale wanaobanwa sana na shughuli nyingi za kutafuta pesa (busy bees), kiasi kwamba wanakosa muda kabisa au wanapata muda mdogo sana kwa usafi wa kufua nguo kwa mikono. Lakini wengine pia ni uvivu tu wa kufua nguo zetu kwa mikono! 
Lakini katika yote washing machine ni nzuri sana kwa kufulia nguo na ina save sana muda especially kama una nguo nyingi za kufua kila siku. Ni njia ya kisasa zaidi inayotumika kurahisisha kazi ya kufua nguo.

Chumba cha kufulia nguo ( Laundry Room) kinahitaji sana usafi wa hali ya juu pamoja na kukipamba....ndio, unaweza kuweka aina flani ya decorations kwenye Laundry room yako kama upendavyo wewe. 
Ikiwa wewe hauna uwezo wa kuwa na chumba special for laundry, then unaweza kuchagua katika vyumba ulivyonavyo ukaweka washing machines zako na kufua nguo kama kawaida. Kutegemea na designs ya rooms zako na ukubwa wake, unaweza kuweka karibu na bathroom, stoo, etc...yaani hapa inategemea zaidi na ujenzi wa nyumba yako. Lakini nisingependekeza uweke washing mashine zako na kufanyia laundry sebuleni au dining room au chumbani!

Hali ya hewa ya Dar ni ya joto hivyo inatulazima kubadilisha nguo zetu kila siku...kuna wengine hubadilisha hata mara 3 kwa siku! Ukiwa na washing machine inakurahisishia kufua nguo zako kila siku na kuziacha katika hali ya  usafi wakati wote.  

Yale mashuka unayolalia usiku ni vyema kuyabadilisha mara kwa mara.... Hata kama unatumia Air condition (AC) au feni chumbani kwako, Inashauriwa kubadilisha mashuka yako na kutandika mengine safi zaidi. Hapa sasa ndo matumizi ya washing machines yanahusika maana yatakurahisishia kazi ya ufuaji kuliko kurundika nguo chafu kwenye tenga zaidi ya siku 2 au zaidi! 

Use your washing machines in Laundry room, fua nguo zako zikaushe then zikunje tayari kwa kuziweka kabatini...na kwazile nguo zinazohitaji kupigwa pasi, zibebe ukazinyooshe ili kuua vijidudu na kuziweka katika hali smart zaidi tayari kwa kuvaliwa na matumizi mengine.

    


Organize your laundry room using glass jars for detergent as a functional and stylish decoration...
In your Laundry room you may use bold colors like lime-green to paint the cabinets....it does make a statement
So clean and organized....
A laundry room with a built-in washer and dryer... and a marble countertop above.

Keep them out of sight....energy efficient washers and dryers can stay completely hidden when not in use...great idea!
Hii sio friji, ni washine machine...


5 Bedroom closet organizing tips!

Organize accordingly...
Organize by Color...
Use pockets to store small items,lingerie,leggings etc..
 
..subdivide long sleeve from short sleeve, shorts from trousers, sweaters,dresses etc...Add PVC pipes in your drawer to place your ties and scarves inside
Hang a wall-mount ironing board near an outlet and store the iron nearby. When you are done with ironing simply fold down the iron board... Hang a large wall mirror or a floor mirror in your closet
 
Related Posts Plugin for Blogger...