Kids' Rooms & Baby Nursery

INSIDE KIDS' ROOMS
  • BABY NURSERIES
  • SMALL KIDS ROOMS
  • TEEN ROOMS
  • KIDS DECOR
  • KIDS RUGS
  • KIDS LIGHTING
  • TOYS
  • ROCKING CHAIRS
  • CRIBS AND BEDS
  • BEDDING
  • KIDS FURNITURES
  • COLORS
  • OTHERS

UPAMBAJI WA CHUMBA CHA KULALA CHA WATOTO



Lovely Nursery....Baby, Baby

Inapendeza kuona baby wako anakuwa na chumba chake cha kulala badala ya kukua akiwa ana share chumba kimoja na wazazi wake!

Muandalie mwanao chumba cha peke yake, mpambie ukuta wa chumba chake na ceiling board with beautiful colors, flowers, birds na urembo mwingine unaovutia kitoto zaidi..... 

Mnunulie kitanda kizuri cha round au cha square, cha kufunika hadi juu asije akadondoka lakini kiwe kinapitisha hewa kwa pembeni..... au mtengenezee kwa design utakayopenda wewe mama sawasawa na ubunifu wako....
mwekee na umchanganyie midoli tofauti tofauti kama vile teddy bears, toddlers, yenye rangi nzuri na kuvutia....

Chagua mapazia mazuri yenye yenye rangi nzuri na urembo wa ki cartoons, flowers or birds etc....Sakafu isiwe tupu bali tandika carpet lenye rangi nzuri na design nzuri la round au scquare kulingana na chumba chenyewe....yaani kama chumba chako ni cha round inapendeza zaidi ukitandika carpet la round.
Weka wall pictures au photos zinazovutia za cartoons, au picha za kwake mwenyewe au za baba na mama....au badala ya kuning'iniza ukutani unaweza kujenga picture rail... itapendeza sana.

A must have....bookshelf. Hapa unaweka story books for bedtime, au ile chupa ya maziwa, saa ya ukutani to keep time. Usisahau kabati la nguo na drawers kwa kuhifadhia baby diapers,blankets and other baby clothes.

Unaweza kuongeza ubunifu zaidi kwa kuandika jina lake ukutani au kwenye kitanda chake kwa letters zenye rangi tofauti na kuvutia...

Hakikisha unachagua vizuri color theme ya ku decorate chumba chak baby wako katika namna ambayo zikichanganywa hizo rangi zinaleta mvuto na kupendeza zaidi....  
  
For more baby nursery ideas,take these decor ideas na upambe chumba cha mtoto wako kiubunifu zaidi,kipendeze na kuwa na mvuto zaidi.




blues and yellow decor........so pretty, feels like heaven....




Hang these unique mobile above the crib....
Picture Rail..... inakuwezesha kuweka picha kama hivi

Add a comfy sofa chair....hapa mama unakaa unabembeleza mwanao, or just watching your baby while sleeping
A book shelf....unaweka story books, teddies, chupa ya maziwa....na vingine kama utavopendelea mama.

Drawers for keeping baby diapers, blankets and other clothes.

Add a Pegboard to place your baby oil, powder etc...

Keep your baby closet neat...use double hung rods and separate them like this....



Beautiful Bunk Beds.....Vitanda vya deka

Bunk beds do save space....

Vitanda vya double deka ni aina ya vitanda ambavyo vinatumiwa sana pale unapokuwa na space ndogo ya chumba na idadi kubwa ya watu. Ni vitanda vinavyotumikaga sana kwenye boarding schools na hata majumbani especially kwenye vyumba vya watoto. 

Kama umebarikiwa kuwa na watoto wengi isipokuwa una chumba kimoja tu kidogo kisichotosheleza malazi ya watoto wako, basi design hii ya kitanda itakufaa sana. Acha kila mtoto awe na kitanda chake, alale comfortable kwa kumchagulia aina hii ya kitanda

.....embu angalia designs zifuatwazo za vitanda hivi ili uweze kupata itakayokufaa. Unaweza kumpelekea fundi wa uhakika design ile utayoipenda akakutengenezea kama zinavoonekana! Its possible!











Car Beds Designs...

Haya jamani,kwa wale wenye watoto wanaopenda sana magari, sports car lover.....








Teen Girl's room...




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for Blogger...