Friday, November 15, 2013

MY PROJECT: SITE YA KIJITONYAMA - BATHROOM SHELF, MIRROR AND TOILET PAPER HOLDER

Bathroom shelf...Price: 100,000/=


Bathroom mirror...Price: 130,000/=

Toilet paper holder...35,000/=

Nakushkuru mdau wa Kijitonyama kwa kuipenda kazi yangu...

Dear visitor, ikiwa ungependa kutoa oda yako wasiliana nami kwa namba: 0712 023102


Wednesday, November 6, 2013

MY PROJECT: BATHROOM MIRROR, CORNER SHELVES & KABATI LA NGUO LA CHUMA - DELIVERED AT GOBA, KIJITONYAMA & SINZA


Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kunifanikisha Project hii...vilienda kwa wadau tofauti. Mbarikiwe sana wadau!!


Bathroom/ Toilet mirror...delivered kwa mdau wa Kijitonyama.


Bathroom Corner shelf...delivered kwa mdau wa Sinza. 

Corner shelf ikiwa Sebuleni / Dining room....
Kabati la nguo...designed and delivered kwa mdau wa Goba. 

Tunaendelea kupokea oda kwa designs hizi na nyingine yoyote unayoitaka...
To place your order Call: 0712 023102
Related Posts Plugin for Blogger...