Friday, April 25, 2014

MY PROJECT: TV SHOW CASE AND A METAL-WOOD COFFEE TABLE...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CLIENT AT KIMARA.

Hii ni kazi ya Fancy Home Decor...nili design coffee table ya chuma na mbao ya mkongo, pamoja na TV show case yenye sehemu za kuwekea speaker, picha,vases za maua etc...


Karibuni kuweka oda...
 
Call: +255 0712 023102  


TV show case & Coffee table yenye stuli zake 2 za pembeni...
TV show case....Ina sehemu za kutosha kuweka CD, picha, vases za maua, vitabu etc...Price: 940,000/= 
Coffee table yenye top ya mbao ya mkongo...ikiwa pamoja na stuli zake 2 za pembeni.... 
Price: 570,000/=

Saturday, April 19, 2014

TOWEL RACK DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MWANZA...KARIBUNI KUWEKA ODA

Fancy Home Decor pia inapokea oda kutoka mikoa mbalimbali ndani ya Tanzania...na hata nje ya nchi!
Hii hapa ni stand ya mataulo, nilii design na kuisafirisha mkoani - Mwanza. 

Karibuni mlioko mikoani na hata nje ya nchi...weka oda yako na tutakusafirishia na kufika salama.
For more info please call +255 0712 023102 


Hii ni Stand ya kuwekea mataulo...unaweza kuiweka bafuni, chumbani, Laundry room ..etc
Price: 180,000/=

Thursday, April 17, 2014

A 2-in-1 SHOE RACK - HANDBAG DESIGN...PLUS A KITCHEN STAND, ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MIKOCHENI...


 All available by order at a reasonable price...

Call us now: +255 0712 023102


Hii ni stand ya kupanga viatu  kwa chini na mapochi kwa juu...Its a 2-in-1 design. Faida yake inasaidia kukupunguzia garama wewe badala ya kutengeneza ya viatu pekeyake na ya mapochi pekeyake, unatengeneza moja unaweka viatu na mapochi hapohapo. Pia ina save space!
Kwenye picha hii ndo inaonekana vizuri zaidi...kwa juu kuna "hooks" za kushikilia mapochi na kwa chini ni ngazi za kupangia viatu.
Price: 150,000/=
Hii stand inakaa jikoni...ni ya kuwekea nazi, viazi, vitunguu, ndizi, nyanya,mihogo, etc etc  etc...
Price: 120,000/=

BATHROOM SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...KARIBU KUWEKA ODA

Inapatikana kwa oda...

Price: 120,000/=

 For more info please Call: +255 0712 023102


Design nyingine ya shelf ya bafuni....kila kitu amepanga kimetoshelezea na inapendeza
Beautiful...

MY PROJECT AT MASAKI: BATHROOM SHELF AND A TOILET PAPER HOLDER...

All these were designed by Fancy Home Decor and delivered to my client at Masaki...

Available by order...and at a reasonable price

Call us now +255 0712 023102


Hii ni shelf ya bafuni/toilet...hapa amepanga mishumaa, soap dish, Dawa za chooni kwa juu...etc.
Price: 100,000/=
Toilet paper holder...Price: 45,000/=

MY PROJECT: TOWEL STAND AND A CORNER SHELF...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIMARA

Available by order and at a reasonable price...

Please call: +255 0712 023102Faida na uzuri wa hii shelf  inayofungwa ukutani ina "save space"! Hapa imefungwa kwenye kona bafuni.
Price: 120,000/=
Stand ya mataulo...Price: 180,000/=

A BATHROOM CORNER SHELF IN WHITE...DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIVULINI...

Its all in white...

Price: 130,000/=

Available by order...Please call: +255 0712 023102


Everything is well organized...
Inavoonekana kabla vitu havijapangwa...

MY PROJECT: BATHROOM WHITE SHELF, MIRROR AND TOILET PAPER HOLDER..DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZI

At Fancy Home Decor(TZ) all things are possible...

To order please call/ WhatsApp 0712 023102


A beautiful white bathroom mirror...
Price: 120,000/=
A white bathroom shelf...
Price: 110,000/=
A toilet paper holder...
Price: 45,000/=

BATHROOM CORNER SHELF.... DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...

Karibu kuweka oda...

Price: 120,000/=

To order please call: 0712 023102


hapa kila kitu kimepangwa na kinaonekana vizuri...mataulo yamekunjwa na kupangwa kwa juu ili kuyafikia kwa urahisi...kwa chini zimepangwa dawa za chooni, JIK, facials, shampoos, sabuni, etc...yaani kila kitu kipo organized!

BATHROOM CORNER SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...

Inapatikana kwa oda...

Price: 120,000/=

For more info and to place your order please call: 0712 023102


Kama mnavyoona wapendwa, mteja wangu amejaza na imependeza...facials, shower gels, shampoos, sabuni za kufulia,miswaki etc etc...vitu ninakuwa organized and easy to reach!

MY PROJECT: BATHROOM CORNER SHELF, MIRRORS & TOILET PAPER HOLDERS..ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT @TEGETA

Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design shelf ya bafuni yenye sehemu maalumu ya kuwekea miswaki, dawa za miswaki... sabuni,dawa za chooni,shampoo etc etc etc...Pia nili deliver na kufunga vioo viwili vya bafuni pamoja na toilet paper holders...

Vyote vinapatikana kwa bei nzuri na nafuu...wahi sasa kuweka oda yako
 
Call / WhatsApp +255 0712 023102Kwa juu kabisa unaweza kukunja mataulo yako ukayaweka hapo....
Nili design na hichi kioo...na hapa ni master bedroom bathroom/toilet...sunflower design is so on!#
Kioo hichi nilikifunga Public toilet...
 
Toilet paper holder...in public toilet
Toilet paper holder...in master bedroom toilet

METAL BED DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT TABATA...KARIBUNI KUWEKA ODA

Tunapokea oda na za vitanda vyenye bomba za neti kama mnavyoona hapo chini....Na ukiangalia kwenye madirisha pia utaona bomba za kushikia pazia...Curtain Poles, rods & Holdbacks...hizo pia zilifungwa na Fancy Home Decor.....ni moja ya kazi zangu.

Vyote vinapatikana kwa oda na kwa bei nzuri na nafuu....

To order please call +255 0712 023102

Karibuni..


Ni kitanda cha 5x6 size...hapa bado hakijawekwa godoro.

Tuesday, April 8, 2014

MY PROJECT: BEMBEA YENYE VITI VINNE VYENYE CUSHIONS ZAKE..DELIVERED KWA MTEJA KIMARA...KARIBUNI KUWEKA ODA!#


Bembea hii ni kazi ya Fancy Home Decor...ina viti vinne vyenye cushions zake...designed and made as per my customer request.
Fancy Home Decor inapokea oda za kutengeneza bembea kwa design yoyote, katika rangi zozote unazotaka na kwa garama nafuu.

Kuweka oda please Call or WhatsApp # 0712 023102

Karibuni. 


Hapa ikiwa bado haijachimbiwa chini...hata mtu mzima mwenye uzito mkubwa sana anabembea hapa....viti vyake vimeshikiliwa na minyororo imara na vimito vya kukalia
Hapa ni kabla viti vya kukalia havijawekewa mito yake....

MY PROJECT: CORNER SHELF AND A KITCHEN STAND...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT BAHARI BEACH...KARIBU KUWEKA ODA YAKO

Thanks to my client who ordered these shelf and kitchen stand from me...
Hii stand ya jikoni ya kijani nliyoitengeneza unaweza kuweka nazi,viazi,vitunguu,ndizi etc etc etc... 

To order yours please call or WhatsApp # 0712 023102


A beautiful Corner shelf...hapa imekaa sebuleni kwenye kona, unaweza kuweka mapambo km hayo, picha, vases za maua, etc...
Design yake na muonekano wake kabla hakijapangwa chochote...
Hii ni stand inayokaa jikoni...nimepaka rangi ya "Apple green" kama mteja alivyopenda...ni ya kuwekea nazi, vitunguu, viazi, ndizi, mihogo, na hata matunda..
Related Posts Plugin for Blogger...