Monday, August 25, 2014

CUSHION COVERS AVAILABLE AT FANCY HOME DECOR*


Unaweza ku match na mapazia yako, makochi, wall paint, carpet au decor nyingine sebuleni kwako....

Price: 15,000/= per cushion cover

Call +255 0712 023102


MORE CUSHION COVERS AVAILABLE....WAHI ZAKO SASA!

Unaweza ku match na mapazia yako, makochi, wall paint, carpet au decor nyingine ....

Price: 15,000/= per cushion cover

To order call +255 0712 023102AVAILABLE NOW AT FANCY HOME DECOR*


Unaweza ku match na mapazia yako, makochi, wall paint, carpet au decor nyingine ....

To order call +255 0712 023102Friday, August 22, 2014

MY PROJECT ......KIOO CHA KUJITAZAMA, STAND YA MAPOCHI, KABATI, HANGER....SITE YA KIMARA

Nili design hichi kioo cheupe cha kujitazama, stand ya mapochi, hanger ya mikanda ya nguo... na kabati la nguo.....

Kwa mahitaji ya furnitures hizi na nyinginezo, karibuni sana Fancy Home Decor*...... 

Contact  me: +255 0712 023102

 Kuweka oda please Call or whatsApp +255 0712 023102

MY PROJECT...STAND YA MAPOCHI NA NGUO...DELIVERED KWENYE DUKA LA MTEJA WANGU MAKUMBUSHO

Kazi hii niliifanya na ku deliver kwenye boutique / clothing store ya mteja wangu Makumbusho. 
Mteja wangu alihitaji stand ya kuwekea mapochi anayouza dukani....na stand ya kuwekea nguo anazoziuza dukani kwake, hivyo akanitafuta na kunikabidhi kazi hii ambayo niliifanya na kuikabidhi kwa mteja kwake kama tulivyokubaliana on time.

Endapo nawewe mdau una boutique au unataka kufungua boutique na ungehitaji makabati ya dukani au furniture za chuma kwa kuwekea mapochi, viatu, nguo..etc... Karibu sana Fancy Home Decor* kwa huduma nzuri na bei nafuu.

Call, whatsApp or Viber +255 0712 023102
Email: fancyhomez@gmail.com

Tunatengeneza kwa oda.


METAL BED DELIVERED TO MY CLIENT AT KIJITONYAMA...

Kitanda hichi cheupe ni kazi ya Fancy Home Decor*....nili deliver kwa mteja wangu Kijitonyama...na alikipenda sana na kukifurahia sana.

Kitanda hichi ni cha futi 5x6 na pia kinapatikana kwa oda. 
 
Kuweka oda Call or WhatsApp +255 0712 023102

Karibuni sana wapendwa...


Kwa pembeni kwenye angle line tunaweka hizo chuma za kushikilia godoro ili lisisogee...na pia kufanya kitanda kiwe kizuri na kupendeza zaidi.

........................Asanteh mteja wangu kwa kuipenda kazi yangu.... .....................

Wednesday, August 20, 2014

CURTAIN HOLDBACKS DELIVERED AND FIXED TO MY CLIENT....SITE YA MBWENI

Nilifunga Curtain holdbacks...yaani hizo za kushikia pazia kwa pembeni kwa chini... kwa madirisha ya sebuleni na dining room kwa mteja Mbweni.

To order call +255 0712 023102


Tuesday, August 19, 2014

MY PROJECT: INTERIOR PAINTS DECORATION, CURTAIN RODS, POLES AND HOLDBACKS, SHOE RACK, KITCHEN STAND...SITE YA PUGU

Nilifanya project hii ya ku decorate rangi za ndani kwenye nyumba ya mteja Pugu.....
Pia tulifunga bomba za pazia vyumba vyote.....pamoja na kumtengenezea stand ya viatu na stand ya jikoni ya kuwekea vitunguu, nazi, mabilinganya, viazi, ndizi etc.......Nili provide consultation service...nikafanya colour selection kwa vyumba vyote vya ndani kwanzia sebuleni, dining room, jikoni, corridors, master bedroom, boys room, girls room, na bafuni.......baada ya hapo kazi ya kupaka rangi ikaendelea. 

Baada ya zoezi la rangi kukamilika nikafunga bomba za pazia double kwa kuwekea pazia zito kwa mbele na pazia jepesi kwa nyuma...au shear curtain.... kwa madirisha ya vyumba vyote nyumba nzima. 

Namshkuru Mungu niliweza kuikamilisha project hii na mteja wangu alifurahi sana.
.....ikiwa ungependa kupatiwa consultation service karibu sana Fancy Home Decor...Bado naendelea kutoa huduma hii.

Call us +255 0712 023102


Muonekano wa Corridor na sebule..
Rangi nilizo select tuka decorate sebuleni na dining room....muonekano wake kabla hatujafunga bomba za pazia.
Dining room......kabla hatujaanza kufunga bomba za pazia
Hapa ni corridor....nilichagua rangi hii tukupaka corridor ili kuifanya corridor iwe na mwanga na sio giza.
Kwenye entrance ya kuingia Masterbedroom nili select rangi tofauti kidogo ila inayoendana na  hiyo ya corridor...
Rangi niliyopaka kwenye entrance ya kuingia masterbedroom.....iliendana  pia na rangi niliyochagua tukapaka masterbedroom.
Masterbedroom colour...
Baby girls room....rangi ya pink ilitawala.
Boys room.....nili select tukapaka  rangi hizi
Double Curtain rails, poles & holdbacks design......Muonekano wa boys room baada ya kufunga bomba za pazia kwenye madirisha.
Double Curtain rails, poles & holdbacks design in masterbedroom.....Bomba za pazia nilizofunga kwenye madirisha ya masterbedroom.
Nilifunga bomba 2 kwa ajili ya kuweka pazia zito kwa mbele na pazia jepesi au shear curtain kwa nyuma....na holdbacks za kushikia pazia kwa pembeni chini.
Muonekano wa sebuleni baada ya kufunga bomba za pazia....curtain rails
Hapa ni jikoni......hapa napo pia tulipaka rangi hiyo kwa juu ya tiles....then nikafunga bomba za pazia....Single Curtain rails & poles....
Dirisha la bafuni nalo tukaweka bomba la pazia...na kwa juu tukapaka hiyo rangi
Rangi niliyo select tukapaka kwenye Entrance room ya kuingia bafuni/chooni....
Mwisho kabisa nikatengeneza na ku deliver hii shoe rack ya ngazi 7....
Hii stand nayo nili deliver....ni stand ya jikoni ya kuwekea vitunguu, nyanya, viazi, mabilinganya, nazi, ndizi, matunda etc.....
Related Posts Plugin for Blogger...