Saturday, August 2, 2014

METAL BED WITH COLORFUL BEDCOVERS...ALL DESIGNED AND DELIVERED KWA MTEJA WA KIMARA.

Fancy Home Decor* tulifunga kitanda hichi cha futi 5x6 kwenye chumba cha baby girl nyumbani kwa mteja wetu Kimara...pamoja na mashuka haya ambayo ni seti ya mashuka mawili na foronya 4.
Watoto wengi wa kike huwa wanapenda rangi ambazo ni colourful kama hizi...isitoshe chumba tayari kilikuwa kimepakwa rangi ya pink ukutani....kwaiyo nikaona tukimwekea rangi hii ambayo ilichanganywa kwa purple na pink, pamoja na kumwekea mashuka haya, mtoto ataifurahia sana na chumba chake kitapendeza sana....na ni kweli mteja wetu alikifurahia sanaa...na mtoto pia alikipenda sana.
Ubarikiwe sana mteja wangu....asanteh kwa kuipenda kazi yangu. 

....Wadau wote mnaotembelea blog hii ndani ya Dar, wa mikoani na hata nje ya nchi...karibuni sana...bado tunaendelea kupokea oda zenu za vitanda size zote..vya kawaida na double deka pia.
Mashuka yetu ni quality, pure cotton...yanapatikana katika seti ya mashuka mawili na foronya 2 mpaka 4. 
Bei zinategemea na size ya kitanda...

For inquiry Call us: +255 0712 023102 or Email: fancyhomez@gmail.com


Ukiangalia utaona rangi ya kitanda ime match na rangi iliyopakwa ukutani chumbani....
Fundi akiwa anakifunga kitanda....kabla hatujaweka godoro na kutandika mashuka
Related Posts Plugin for Blogger...