Tuesday, August 12, 2014

STAND YA JIKONI YA SHELF 3...DELIVERED TO MY CLIENT AT TABATA

Stand hii ni kazi ya Fancy Home Decor*...ina sehemu 3 za kuwekea microwave, rice cooker, blender, spices etc...etc...etc
Design hii ni nzuri sana maana stand ni movable...yaani ni rahisi kuihamisha ukitaka....na pia vitu jikoni vinakuwa well organised and in order.

Kuweka oda call +255 0712 023102

karibuni
Related Posts Plugin for Blogger...