Sunday, June 29, 2014

MASHUKA QUALITY...PURE COTTON BED COVERS AVAILABLE FOR SALE AT FANCY HOME DECOR(TZ)

Fancy Home Decor ina design na kuuza mashuka mazuri na quality. 
Haya ni baadhi tu ya mashuka tuliyokwisha kuyatengeneza na ambayo yapo tayari kwa kuuzwa. Zinapatikana katika size zote ...ni material ya cotton na inakuwa ni seti ya shuka 2 na foronya 4.

Karibu mdau ujipatie seti yako ubadilishe muonekano wa kitanda chako na kadhalika chumba chako.
Mashuka mazuri yatakufanya ujisikie vizuri wakati wa kulala na pia kuongeza mvuto chumbani. 
Kitanda kikiwa kinabadilishwa kwa kutandikwa mashuka ya design na rangi mbalimbali mara kwa mara pasipo kurudia rudia shuka hilo hilo moja kila siku; ni dalili inayoonyesha kuwa wewe dada, wewe mama unajitambua, unatambua wajibu wako kama mwanamke na unajipenda!
Nunua mashuka yako mengi ya kutosha ya rangi mbalimbali na  designs mbalimbali, panga vizuri kabatini alafu unakuwa unayatandika kwenye kitanda chako kwa kuyabadilisha mara kwa mara.Itapendeza sana.

Karibu sasa uweke oda yako...

Call us 0712 023102


Floral design...
Stripes design...Kwa leo ntaishia hapo...ntakuwa nkiendelea kuwaonyesha na ku share designs tofauti za mashuka, duvet etc...Please keep following and stay tuned!!!

 

Monday, June 23, 2014

VIOO VYA KUJIANGALIA SALUNI, SHELF ZA KUWEKEA MATAULO, VIPODOZI, HAIR SHAMPOOS AND CONDITIONER...PROJECT YA KILUVYA.

Project hii ilifanyika kwenye saluni ya mteja wetu Kiluvya. Tuliweka vioo viwili vyeupe ukutani vya design ya round kulingana na alivyopenda mteja wetu. Pia tulifunga shelf 3 za kuwekea mataulo, vipodozi, shampoos na conditioner za kuoshea nywele.
Ni saluni mpya na mteja wetu ndo alikuwa ameanza kuipamba....kwa rangi nzuri ya ukutani na furnitures za kisasa na imara za chuma.

Fancy Home Decor inakusaidia kupendezesha saluni yako, nyumba yako, ofisi yako...n.k...

Contact us now to get our service: +255 0712 023102
karibuni..Looking so lovely kwakweli!
Corner shelf nyeupe ya kuwekea mataulo ya wateja....
Shelf ya kuwekea vipodozi n.k...
Shelf inayokaa karibu na sink la kuoshea nywele wateja...unaweka shampoos za kuoshea nywele, conditioners n.k...

Sunday, June 8, 2014

KITANDA CHA CHUMA NA STAND YA VIATU....DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CLIENT AT MBEZI SALASALA

Kitanda hichi na stand hii ya viatu ni kazi ya Fancy Home Decor....Size ya kitanda ni 6x6.

Tunatengeneza kwa oda...

Kuweka oda...Call us 0712 023102

....DELIVERED TO OUR CLIENT AT GOBA

Fancy Home Decor ilimtengenezea mdau wetu wa Goba tray la vyombo - la kuwekea sahani...pamoja na paper towel holder, kwa ajili ya matumizi ya jikoni au dining room. 

To order call 0712 023102


Wednesday, June 4, 2014

PROJECT YA MAPAZIA NA BOMBA ZA MAPAZIA...DOUBLE CURTAIN RODS & CURTAINS. SITE YA TEGETA

Mteja aliweka oda ya mapazia na bomba za mapazia. Baada ya kutoa oda hiyo, Fancy Home Decor ilimtengenezea mteja na kwenda kuyafunga mapazia pamoja na bomba zake...... double Curtain rods, poles & holdbacks... Kwa madirisha 9 ya sebuleni, vyumbani na jikoni......

Hapo kwenye picha ni muonekano wa sebule baada ya kumaliza kazi ya kuweka bomba "double" za mapazia na kufitisha mapazia yote "double" ya mbele na shear.

Kwa mahitaji ya mapazia mazuri ya nyumbani karibu Fancy Home Decor...utaweza kupata mapazia ya rangi tofauti unayopendelea wewe...na pia nitakushauri pale utakapokuwa unahitaji msaada wa kiushauri....kuhusu pazia gani nzuri kulingana na aina ya rangi za furnitures zako ...na hata rangi ya ukuta pia...

Contact us: +255 0712 023102Tulichagua design hii ya pazia na rangi hizo ili ku match na furnitures zilizokwepo sebuleni, carpet na rangi ya ukuta pia.
Related Posts Plugin for Blogger...