Wednesday, September 23, 2015

Sunday, August 16, 2015

PICHA ZA UKUTANI, TAA YA GLOBE...ALL DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZI MALAMBA MAWILI.

This is all the work of Fancy Home Decor....delivered to our customer

To place your order Call +255 0712 023102 


Picha za ukutani 3....pamoja na taa ya Globe
Picha hii ya ukutani tuliiweka  kwenye ukuta mmoja wa Dinning room...
Picha ya ukutani niliyo deliver ....pamoja na taa ya Globe ikiwa imewashwa taa.
This mirrored wall picture was delivered and placed at a corridor...
Picha hii nyingine pia ilikaa kwenye ukuta mwingine wa corridor...
Taa ya Globe ikiwa haijawashwa taa....displaying all continents including AFRICA!
Taa ya Globe ikiwa haijawashwa taa na ikiwa imewashwa taa....

Wednesday, August 5, 2015

MY WORK: METAL SHOE RACK AND A CORNER STAND...DELIVERED AT MBEZI MALAMBA MAWILI

This Shoe rack and a Corner stand was designed and delivered to my customer at Mbezi Malamba mawili.

The stone Wallpapers are also a work of Fancy Home Decor*.

You are welcome to place your order...Contacts: +255 0712 023102


Shoe rack ya ngazi 6...
Corner stand yenye shelves 3....ikiwa imewekwa vifaa vya bafuni na toilet.....

Monday, July 6, 2015

HOUSE FOR RENT!

Nyumba INAPANGISHWA....

LOCATION: MBEZI BEACH AFRIKANA

PRICE: 700,000/= per month

TERMS OF PAYMENT: 6 MONTHS

INCLUDES: 3Bedrooms, one bedroom is self contained 
(Masterbedroom)...SittingRoom...DinningRoom...Kitchen...PublicToilet...
Ina Tiles, Gypsum, Aluminium, Fence, Car parking space, PavingBlocks, maji yapo ya kutosha, ina full AirCondition(AC)...
Pia ina makabati ya jikoni pamoja na jiko la gas na umeme #INCLUSIVE...ina jiko la nje, choo cha nje na store...pamoja na Simtank. 

Kwa mawasiliano zaidi Contact: 0712 023102


Saturday, May 23, 2015

MY PROJECT: WALLPAPER WORK...SITE YA MBEZI MALAMBA MAWILI.

Hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor.

Tulibandika wallpaper ya design hii jikoni napia kwenye entrance ya kuingia bathroom/ toilet.....kwa mteja wangu Mbezi Malamba mawili. 

Ukiiangalia haraka haraka unaweza kufikiri ni tiles au mawe flani hivi!..... Kumbe ni wallpaper flani hivi Amazing!
Jikoni tulibandika kwenye kwenye ukuta mmoja......na kwenye entrance ya kuingia bafuni na toilet tulibandika kuta zote 4. 

Karibuni sana kuweka oda......tunazo wallpaper za rangi tofauti pia na designs tofauti.

For more contact us: Call +255 0712 023102


Ilivyokuwa BEFORE hatujabandika.....na AFTER ya kubandika wallpaper jikoni
Huu ndo ukuta wa jikoni tuliobandika.....
Hapa tunaona ukuta wa jikoni niliobandika.....na kuta za entrance za bathroom/toilet
Hapa tulibandika kwenye entrance ya kuingia Bafuni / toilet.....
There is no place like home.....

Friday, April 17, 2015

MITUNGI MITANO YA KUPAMBIA NYUMBA....DELIVERED TO MY CUSTOMER AT MBEZI BEACH

Mitungi hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor*

Ni mitungi mitano(5) ya rangi tofauti ikiwa pamoja na decoration zake zenye rangi tofauti pia......mitungi 2 ya Orange, Yellow 2 & Red 1.

  • Mtungi mmoja wa yellow na wa Orange nliweka kwenye TV wall......
  • Mtungi wa red nkaweka dinning room..... 
  • Mtungi mwingine wa Orange kwenye corner ya Corridor .......
  • ...na mtungi mwingine wa Yellow kwenye corner ya stairs za kupandia juu gorofani!

All this were delivered to the Same customer nliyemfanyia kazi ya rangi, nkamtengenezea na L shape sofa set, nikamwekea mapazia, bomba za pazia, etc.

For your order and delivery please Call this # 0712 023102
Kindly follow us @ Instagram @ fancyhomedecor

Welcome. 


The Yellow & Orange mitungi....at the TV wall.....in the living room
This red mtungi was placed at the corner of dinning room...
This Orange mtungi was decorated at the corner of a corridor...
At the corner of stairways, the yellow mtungi was placed...
I like the view of these 2 mitungi.....at far....the Orange one at the corridor and the red one at the dinning room....Photo credit: by me - Fancy Home Decor*
Related Posts Plugin for Blogger...