Mitungi hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor*
Ni mitungi mitano(5) ya rangi tofauti ikiwa pamoja na decoration zake zenye rangi tofauti pia......mitungi 2 ya Orange, Yellow 2 & Red 1.
- Mtungi mmoja wa yellow na wa Orange nliweka kwenye TV wall......
 - Mtungi wa red nkaweka dinning room.....
 - Mtungi mwingine wa Orange kwenye corner ya Corridor .......
 - ...na mtungi mwingine wa Yellow kwenye corner ya stairs za kupandia juu gorofani!
 
All this were delivered to the Same customer nliyemfanyia kazi ya rangi, nkamtengenezea na L shape sofa set, nikamwekea mapazia, bomba za pazia, etc.
For your order and delivery please Call this # 0712 023102
Kindly follow us @ Instagram @ fancyhomedecor 
Welcome.
Welcome.
![]()  | 
| The Yellow & Orange mitungi....at the TV wall.....in the living room | 
![]()  | 
| This red mtungi was placed at the corner of dinning room... | 
![]()  | 
| This Orange mtungi was decorated at the corner of a corridor... | 
![]()  | 
| At the corner of stairways, the yellow mtungi was placed... | 
![]()  | 
| I like the view of these 2 mitungi.....at far....the Orange one at the corridor and the red one at the dinning room....Photo credit: by me - Fancy Home Decor* | 


 
 
 
 
No comments:
Post a Comment