Thursday, April 9, 2015

MY PROJECT: L SHAPE SOFA SET.....DELIVERED TO MY CUSTOMER AT MBEZI BEACH.

Hii ni kazi yangu...Fancy Home Decor*.

This L shape sofa set was designed and delivered to my customer at Mbezi Beach. It is a 9 seaters Sofa set...

Mbali ya ku design rangi na kupaka kwa mteja wangu huyu...pia nilimtengenezea #makochi mapya design ya L shape ya watu 9...
#kitambaa nlichomwekea ni cha quality ya juu.........rangi ya sofa na foronya zime match perfectly na #Carpet...... pamoja na hizo #Puff 2 za yellow & green ambazo pia nimemtengenezea.........

Covers za mito ya kukalia ya sofa niliweka zip kwa nyuma kwa urahisi wa kuzivua mteja akitaka kuzibadilisha au kuzifua (washable & removable covers)......
Mito midogo au cushions ni 100% fibre for easy comfort........#foronya za mito ya kuegemea nlimtengenezea pair 3 tofauti, ili awe anaweza kubadilisha mara kwa mara na kuleta muonekano mpya sebuleni zote.....miguu ya sofa nimeweka ya mbao kwa uimara zaid maana ile miguu ya chuma sometimes sio imara sana kama ya mbao!

Tunatengeneza sofa za aina zote....Lshape design ....nazile za kawaida pia. Karibuni sana.

To press your order Call 0712 023102
#Bei inategemea unataka sofa la watu wangap.

 Kindly follow us @ Instagram @ fancyhomedecor


The yellow & green puff is also designed by Fancy Home Decor*
Same L shape sofa set but different Pillow covers......Set ya pili ya foronya za miduara!
.....na hayo mapazia pia pamoja na mitungi ni kazi ya Fancy Home Decor*
 BEFORE & AFTER.... ilivyokuwa kabla na baada ya kutengeneza makochi mapya ya L shape....
 BEFORE meets AFTER....
Happy customer...
Related Posts Plugin for Blogger...