Wednesday, February 5, 2014

MY PROJECT: KUPAKA RANGI YA NJE YA NYUMBA - SITE YA MBEZI SALASALA

I thank God kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii ya Exterior painting decoration & designing at Mbezi Salasala.
Ilikuwa ni kupaka rangi ya nje ya nyumba,..Rangi ya kisasa ambayo inakupa guarantee ya lifetime, haitoki wala haibanduki miaka 100! Pia hauhitaji kupiga kwanza skimming (white cement) kama kwenye rangi za kawaida, bali yenyewe unaweza kuipaka baada tu ya kupiga plasta. Na sio tu hilo, bali pia inapendeza sana.

We provide quality Interior & Exterior designing & decoration service.

Call us now # 0712 023102  Muonekano wa mbele wa nyumba...baade zitakuja kuwekwa tiles kwenye hizo ngazi(stairs) na kwenye skating ya nyumba.
At the backyard...
Related Posts Plugin for Blogger...