Wednesday, February 12, 2014

MY PROJECT: INTERIOR DESIGNING SITE YA SALASALA - COLOUR, WALLPAPER, CURTAIN RODS, POLES & CURTAIN HOLDBACKS.

Kutoka kwa mteja wa Mbezi Salasala... Fancy Home Decor pia ilipata project ya Interior designing and decoration.... pamoja naile rangi ya nje(exterior).
Nilifanya Interior designing -Nikachagua rangi na tukapaka nyumba nzima: sebule, dining room, corridor, master bedroom, dressing room, Library room, girls & boys room and store.

#Sebuleni nika design Wallpaper kwenye ukuta wa TV...ambayo ni black and white wallpaper. 

#Kwenye gypsum ceiling kwa juu nilipaka red paint kwenye ile miduara miwili pamoja na dining room...Color combination ilikuwa ni red, black & white.

#Baadae nikamalizia kwa ku design na kufunga mabomba ya mapazia(Curtain rails, poles & holdbacks) kwa madirisha ya nyumba nzima...sebuleni, dining room, vyumbani, jikoni, bafuni na toilets.

....Kabla hatujaanza kupaka rangi, FancyHomeDecor ilianza kwanza na kuuandaa ukuta kwa kufanya "skimming" nyumba yote kwenye gypsum ceiling na ukutani. Baada ya hapo ndo zoezi la kupaka rangi likaanza...na likamalizika kama hivo mnavyoona. Ilipendeza.


#Dear readers, karibuni sana Fancy home decor.... kupata Interior designing & decoration service kwa garama nafuu..

Call us now 0712 023102


....Interior design na decoration ya mpangilio wa rangi, wallpaper na Curtain poles ilikuwa hivii...

Hapa ni sebuleni...bado walikuwa hawajahamia...kwenye gypsum ceiling nili design na kupaka hiyo red color...na ukutani nikapaka hizo neutral colors.
Hapa ni dining room...kwenye mduara wa gypsum ceiling kwa juu nilipaka red paint...
Hapa ni Corridor... niliweka rangi hii ili kuleta mwanga kwenye corridor...
Girls room..
Boys room...
  
Masterbedroom nilipaka rangi hii pamoja na kufunga Curtain poles & holdbacks

Huu ni ukuta wa TV sebuleni, niliweka Wallpaper ya black & white ili ku match na red paint niliyopaka kwenye gypsum ceiling pamoja na rangi nilizopaka ukutani..
 
Black & white Wallpaper matched with the red & white curtains and red paint on gypsum ceiling...


 
Related Posts Plugin for Blogger...