Monday, February 9, 2015

MY PROJECT: 3 INTERIOR POTS DELIVERED TO MY CUSTOMER AT KIMARA

#FancyHomeDecorProject...Hii ilikuwa ni ya mitungi mitatu....miwili ya Orange na mmoja wa Yellow.
Mtungi mmoja wa #Orange wenye maua tuliuweka dinning room kwenye corner...na mitungi miwili ya #Orange na #Yellow ikakaa sebuleni...ikiwa na miti yake ya decoration.

Kwa ujumla mteja wangu aliifurahia sana kazi yangu....nami namshkuru Mungu Kwa hilo. 
Ubarikiwe sana my mteja kwa kazi ulizonipa...order hii ya mitungi mitatu...nazile nyingine...maana kwangu ni kubwa mno!....order ya 3 pots, metal Coffee table, Dinning table, TV stand, Large and small cushion covers, 2 pair of Sofa seat covers, 2 puff, 2 table centre piece, a bathroom corner shelf, bathroom towel holder, toilet paper holder..and more to come, I believe! LOL
I thank you so much. It was my pleasure to serve you my customer...and am thankful you also appreciated my service.

#Dear visitors and all my followers...
If you would also like to have these beautiful pots designed by me at your home....Please Call or WhatsApp 0712 023102...For your orders and delivery

#Note: Kuna baadhi ya hizo kazi nilizozi mention nimefanya, kwenye hii post sijaziweka....but mkiangalia post zilizopita za nyuma mtaziona....na nyingine nitazi post separate na hii post ya mitungi ya maua....kindly muendelee kutu #follow...na kuwa wateja wangu pia! Mbarikiwe sana.


...Yellow & Orange pot zikiwa sebuleni...
...mtungi wa Yellow...rangi yake nime match na hizo large cushion covers, seat covers of the sofa & table centre piece...all designed by me!
Wonderful...
...Orange flower pot niliyoweka dinning room...
...Orange flower pot at the Corner of the dinning room...
Beautiful...
Mteja wangu alifurahi mnoo...#hapa akinishukuru kwa huduma nzuri aliyopata...
Thanx alot my mteja...I am truly grateful and humbled...Ubarikiwe mnoo!#
#Happy customer...Glory to God!
Related Posts Plugin for Blogger...