Wednesday, February 4, 2015

BEFORE AND AFTER: LIVING ROOM PROJECT - SITE YA KIMARA...

Fancy Home Decor* tulibadilisha muonekano wa sebule kwa kubadilisha #foronya kubwa za mito pamoja na kitambaa cha Seat za kukalia za masofa...

Hapa #SeatCovers tuliweka za #green.... na zina zipu... kwaiyo unaweza kuzivua ukitaka kuzifua au kuzibadilisha na kuweka za design nyingine tofauti.
Kwakweli inapendeza ukiwa na pair au set nyingi tofauti za foronya na seat covers ili uweze kubadilisha mara kwa mara...hata sebule inaonekana mpya kila wakati...haipendezi foronya zikawa zilezile, seat covers zilezile mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka! au mwanzo wa mwezi hadi mwisho wa mwezi! Same design! Hapana, hapo sebule lazima itakuwa inachosha na haivutii...kwa mgeni hata kwa wenye nyumba wenyewe!
Nashkuru mteja wangu huyu... alioda pair 2 tofauti za seat covers za Orange & Green....pamoja na Large cushion covers pair 3 tofauti...kwaiyo anaweza kubadili muonekano wa sebule yake mara kwa mara na inaonekana mpya kila siku kwa kubadilisha foronya tofauti tofauti, seat covers, table runner, carpet.. zikiwa katika rangi tofauti nzuri! Na hivi ndivyo inavyotakiwa.

Let us all learn to follow the trendy...twende na wakati...Let us learn to change the look of our living rooms often and make it more inviting.

Order now. Call or #WhatsApp 0712 023102
#FancyHomeDecorProject #MixNmatch #CushionCovers  #SeatCovers #ColorCombo #LivingRoomInspiration

Related Posts Plugin for Blogger...