Friday, February 27, 2015

HAPPY CUSTOMER...THE CORNER SHELF WAS DELIVERED TO MY CUSTOMER AT SINZA.

My Happy Customer....Thank you...


Bathroom Corner shelf....

DOUBLE CURTAIN RODS DELIVERED AND FIXED AT KIMARA...#FANCY HOME DECOR PROJECT

Picha za bomba za mapazia baada ya kizifunga kwa mteja wangu Kimara...hapa ni sebuleni.
It was a project of double curtain rods, poles & holdbacks for 7 windows...living room, dinning room & master bedroom.


To press your order please Contact us: +255 0712 023102




Curtain rods in the living room....
My Happy Customer....Thanx God.

LARGE AND SMALL CUSHION COVERS SOLD AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZI SALASALA.

Asanteh kwa kuipenda kazi yangu mteja wangu...Thanx God.

Friday, February 20, 2015

MY PROJECT: METAL BATHROOM CORNER SHELF, TOWEL RACK AND TOILET PAPER HOLDER...ALL DELIVERED AND FIXED TO MY CUSTOMER AT KIMARA!

Bathroom corner shelf...ina sehemu special ya kuwekea miswaki na dawa za mswaki
Hanger ya mataulo...ina sehemu 3 za ku hang mataulo...
Toilet paper holder...
#Happy customer....mteja wangu alifurahi mnoo!....

BEFORE & AFTER: 2 PUFF REPAIRED AND DELIVERED TO MY CUSTOMER AT KIMARA...#FANCY HOME DECOR PROJECT #ORANGE AND GREEN PUFF

2 Puff  ...Orange and Green...After repaired and changing covers
Hapa tayari ikiwa kwa mteja...sebuleni...ime match na mitungi niliyo deliver ya Orange na Yellow...pamoja na Sofa covers na cushion covers nilizo design.
#Happy Customer.....mteja wangu aliifurahia sana kazi yangu....

Nakushkuru sana mteja wangu...na karibu tena na tena!

Monday, February 9, 2015

MY PROJECT: 3 INTERIOR POTS DELIVERED TO MY CUSTOMER AT KIMARA

#FancyHomeDecorProject...Hii ilikuwa ni ya mitungi mitatu....miwili ya Orange na mmoja wa Yellow.
Mtungi mmoja wa #Orange wenye maua tuliuweka dinning room kwenye corner...na mitungi miwili ya #Orange na #Yellow ikakaa sebuleni...ikiwa na miti yake ya decoration.

Kwa ujumla mteja wangu aliifurahia sana kazi yangu....nami namshkuru Mungu Kwa hilo. 
Ubarikiwe sana my mteja kwa kazi ulizonipa...order hii ya mitungi mitatu...nazile nyingine...maana kwangu ni kubwa mno!....order ya 3 pots, metal Coffee table, Dinning table, TV stand, Large and small cushion covers, 2 pair of Sofa seat covers, 2 puff, 2 table centre piece, a bathroom corner shelf, bathroom towel holder, toilet paper holder..and more to come, I believe! LOL
I thank you so much. It was my pleasure to serve you my customer...and am thankful you also appreciated my service.

#Dear visitors and all my followers...
If you would also like to have these beautiful pots designed by me at your home....Please Call or WhatsApp 0712 023102...For your orders and delivery

#Note: Kuna baadhi ya hizo kazi nilizozi mention nimefanya, kwenye hii post sijaziweka....but mkiangalia post zilizopita za nyuma mtaziona....na nyingine nitazi post separate na hii post ya mitungi ya maua....kindly muendelee kutu #follow...na kuwa wateja wangu pia! Mbarikiwe sana.


...Yellow & Orange pot zikiwa sebuleni...
...mtungi wa Yellow...rangi yake nime match na hizo large cushion covers, seat covers of the sofa & table centre piece...all designed by me!
Wonderful...
...Orange flower pot niliyoweka dinning room...
...Orange flower pot at the Corner of the dinning room...
Beautiful...
Mteja wangu alifurahi mnoo...#hapa akinishukuru kwa huduma nzuri aliyopata...
Thanx alot my mteja...I am truly grateful and humbled...Ubarikiwe mnoo!#
#Happy customer...Glory to God!

Wednesday, February 4, 2015

BEFORE AND AFTER: LIVING ROOM PROJECT - SITE YA KIMARA...

Fancy Home Decor* tulibadilisha muonekano wa sebule kwa kubadilisha #foronya kubwa za mito pamoja na kitambaa cha Seat za kukalia za masofa...

Hapa #SeatCovers tuliweka za #green.... na zina zipu... kwaiyo unaweza kuzivua ukitaka kuzifua au kuzibadilisha na kuweka za design nyingine tofauti.
Kwakweli inapendeza ukiwa na pair au set nyingi tofauti za foronya na seat covers ili uweze kubadilisha mara kwa mara...hata sebule inaonekana mpya kila wakati...haipendezi foronya zikawa zilezile, seat covers zilezile mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka! au mwanzo wa mwezi hadi mwisho wa mwezi! Same design! Hapana, hapo sebule lazima itakuwa inachosha na haivutii...kwa mgeni hata kwa wenye nyumba wenyewe!
Nashkuru mteja wangu huyu... alioda pair 2 tofauti za seat covers za Orange & Green....pamoja na Large cushion covers pair 3 tofauti...kwaiyo anaweza kubadili muonekano wa sebule yake mara kwa mara na inaonekana mpya kila siku kwa kubadilisha foronya tofauti tofauti, seat covers, table runner, carpet.. zikiwa katika rangi tofauti nzuri! Na hivi ndivyo inavyotakiwa.

Let us all learn to follow the trendy...twende na wakati...Let us learn to change the look of our living rooms often and make it more inviting.

Order now. Call or #WhatsApp 0712 023102
#FancyHomeDecorProject #MixNmatch #CushionCovers  #SeatCovers #ColorCombo #LivingRoomInspiration

BEFORE AND AFTER PROJECT: TULIBADILISHA SEAT COVERS ZA MAKOCHI NA CUSHION COVERS ZA MITO MIKUBWA

Related Posts Plugin for Blogger...