Friday, September 27, 2013

WALLPAPERS.. WALLPAPERS.. WALLPAPERS!!...AVAILABLE @ FANCY HOME DECOR

Fancy Home Decor pia Inahusika na kuuza na kubandika  "WALLPAPERS"...

Unaweza kuweka wallpaper kwenye eneo lako la TV  na ikapendeza sana!!
..na sio tu kwenye eneo la TV, bali hata chumbani, dining, jikoni au corridor...km unavyopenda wewe!

Zinapatikana ktk rangi mbalimbali...Wahi sasa!!
Contact: 0712 023102
 
Zinapatikana pia ktk rangi mbalimbali...
 
Related Posts Plugin for Blogger...