Monday, September 23, 2013

MY PROJECT: METAL L-SHAPE SOFA CHAIRS DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT @ MWENGE

Fancy Home Decor ilipata project ya ku design L-shape sofa chairs pamoja na mito yake kwa mdau wa Mwenge ambaye ndo kwanza alikuwa anahamia!!

Rangi ya kitambaa cha makochi ilikuwa ni red, nikachanganya na mito yenye rangi ya red, black & white to bring out a beautiful color combination!!Price: 950,000/=

Uzuri wa L-shape sofas ni vile unaweza kuzi arrange anyhow you like...kama inavoonekana hapa unaweza kuvibadilisha viti na kuvipanga kwa style nyingine pale unapotaka kubadilisha muonekana wa sebule yako! Ukihitaji kama hili peke yake bei ni: 420,000/=


Ukihitaji kama hichi peke yake bei ni: 290,000/=

My dear visitor, endapo ungehitaji kutengenezewa  L-shape design kama hii au design nyingine yoyote, karibu Fancy Home Decor. Tutakupa huduma nzuri na kwa bei nafuu!!

Kutoa oda contact: 0712 023102

Itachukua siku chache tu kukamilisha oda yako...minimum 5 days!!!
Related Posts Plugin for Blogger...