Hii ni kazi ya Fancy Home Decor* 
Ilikuwa ni  Project ya bomba za mapazia kwa madirisha 19 ya nyumba site ya Tabata Kinyerezi....
...nili design na kufunga double Curtain rods, poles & holdbacks kwa madirisha ya sebuleni, dining, kitchen, 3 bedrooms, Study room,corridor,store & toilets/bathrooms, etc ...
...Below is the design of poles & holdbacks# selected and designed...
To get this service plz call us +255 0712 023102.
|  | 
| Hapa ni sebuleni... | 
|  | 
| Dinning room... | 
|  | 
| Kitchen...Tulifunga hizo bomba za pazia na hiyo shelf ya microwave....nyumba ilikuwa bado mpya haijahamiwa. | 
 
 
  
  
  
  
