Tuesday, December 10, 2013

MY PROJECT SITE YA KIMARA NOVEMBER THIS YEAR - YOU ARE ALL WELCOME TO PRESS YOUR ORDER.

FancyHomeDecor ilitengeneza na ku deliver 6 seaters Dining table, Stand ya mapochi, Floor magazine rack, Candle holder & kitchen shelf...pia nilifunga na Curtain holdbacks kwa madirisha ya sebuleni...

Karibuni wote kuweka oda...

Call: 0712 023102


6 seaters dining table - Imetengenezwa kwa miguu ya chuma, top ya mbao ya Mninga na chini kioo.Design ya meza bila muonekano wa viti ni hii...


Candle holder 

Stand ya kuwekea mapochi / handbags

Floor magazine rack.

Kitchen shelf...


Asanteh sana mdau wa Kimara...ubarikiwe sana
Related Posts Plugin for Blogger...