Monday, October 21, 2013

MY PROJECT: SITE YA BOKO...SEPTEMBER 2013


Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design furnitures za chuma na mbao kutoka kwa mdau wa Boko. Ilikuwa ni vitanda viwili... double deka na cha kawaida size 5x6, Dressing table, Dining table, Coffee table, Bathroom shelf na Kabati la nguo. 

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii...


Unaweza kuweka oda yako kupitia namba: +255 0712 023102

Email: fancyhomez@gmail.com

Karibuni sana...


6 Seater Dining table...yenye vioo viwili kwa juu na chini!Coffee table yenye kioo cha tinted...


Metal bed Size 5x6...


Dressing table and a stool...


Double deka yenye ngazi mbili...ikiwa bado haijawekwa godoro! 


Bathroom shelf ...


Related Posts Plugin for Blogger...