Wednesday, July 24, 2013

MY PROJECT: BABY BOY ROOM DESIGNING & DECORATION - SITE YA MAKONGO

DESIGNER: MERCY

LOCATION: MAKONGO JUU


COLOR COMBINATION: Baby blue, Ripple green & Wild Lilac







For Interior decoration services and exterior, please contact me: +255 0712 023102




BEFORE


                                     Muonekano wa chumba cha mtoto kabla hakijapakwa rangi




AFTER

    Muonekano mpya wa chumba cha mtoto kilichopakwa rangi - kuta hizi zilipakwa rangi ya "baby blue"
                      


                                     Color combination used: Baby blue & Wild Lilac...so lovely!



                                      Color combination used: Ripple green & Wild lilac



                                                 Color combination used: Blue & Wild lilac



                                      Color combination used: Ripple green & Baby blue



                                             


                                              Color combination used: Ripple green & Wild lilac

Ukutani nikaweka wallpaper ya cartoons....





                     I also designed this colorful lovely shoe rack for the baby...kwa rangi nzuri za kitoto!










                               Chumba cha mtoto lazima kiwe na rangi nzuri na midoli ya kutoshaa!




A BIG asanteh kwako mteja wangu...





Saturday, July 20, 2013

METAL BED DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT AIRPORT.

AVAILABLE @ FANCY HOME DECOR 

TO PLACE YOUR ORDER CONTACT: +255 0712 023102







                                                     


 

Wednesday, July 17, 2013

MY PROJECT: MAGAZINE RACK & CORNER SHEL - WAHI KUWEKA ODA YAKO

CONTACT: +255 0712 023102





                                                           





                                                                

Saturday, July 13, 2013

MY PROJECT: ROCK WATERFALLS DESIGNING & DECORATION - BEFORE & AFTER - SITE YA MAKONGO

DESIGNER: MERCY - FANCY HOME DECOR

PROJECT: EXTERIOR ROCK WATERFALLS DESIGNING & DECOR

LOCATION: MAKONGO JUU

CONTACT: 0712 023102



Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kuifanya na kuimaliza salama project hii ya ku design na kupaka rangi nje ya nyumba, kwenye maporomoko ya mawe yaliyokwisha kujengwa kwa kuizunguka fence ya nyumba huko Makongo juu. 

Tayari mteja wangu alikwisha kuyajenga na kuweka pump ya maji ili kusababisha "waterfalls" view au maji kutiririka kuingia kwenye pool ambayo nayo iliipakwa rangi yake.Kitakachofuata baada ya hapa ni gardening. Kutapandwa "plants" au maua maalumu mazuri kwenye sehemu ya mawe zilizojazwa udongo tayari. Hii ni kazi ya sanaa na kiubunifu zaidi.

Ni kweli baadhi yetu tumezoea kuona design hizi za "rock waterfalls" kwenye mahoteli makubwa... lakini hii ni kazi ya ubunifu inayoweza kujengwa katika nyumba zetu ambapo kama ukifanyiwa kazi kitaalamu lazima nyumba zetu zitavutia sana. 
Na sio nje tu ya nyumba yako...bali mawe haya unaweza kuyajenga hata ndani ya nyumba yako mfano; sebuleni, na kuyapaka rangi nzuri zitakazoshahabiana vyema.

Usisubiri kusimuliwa, anza sasa kufikiria kujenga rocks waterfalls kama hii nyumbani kwako. Embu angalia inavyovutia.



BEFORE


The rocks are built at a front yard of the house...Mawe haya yamejengwa kuuzunguka ukuta wa nje ya   nyumba kama mnavyoona hapa. 

                                       gogo lililojengwa kiubunifu na ustadi kwa kutumia cement








                                A creative work of rocks waterfalls design...so unique and amazing !
                                      Mawe yamejengwa kwa ubunifu wa hali ya juu...



                                                    

                               Water pool surrounded by small beautifull decorative stones...
  Hichi ndo kisima kwa ajili ya maji yanayotiririka kutuama. Kimezungukwa na mawe ya tarazo yenye rangi  mchanganyiko.




AFTER












                                Pool ya maji ikiwa tayari imeshapakwa rangi yake...beautiful view






                        Hapa patakuja kufanyiwa "gardening...mawe mazuri yanayoizunguka ni ya tarazo


   Gogo linaloonekana limefanyiwa decoration ya rangi  nzuri inayoongezea mvuto kwenye macho


                     Mvuto wa rangi zilizochangwanywa kiubunifu kwenye gogo na ukuta...inapendeza

                        




                                                              Inapendezaa kwakweli...


Dear visitor, r u inspired?....
Rock waterfalls is the hottest trendy exterior decor and design for home owners. It brings a beautiful view especially at the front yard of your house or at the backyard and at your garden.
You should try this at your home.

Lets Decorate, Relax, Live & Enjoy.


*Shukrani za dhati pia ziende kwa mteja wangu... Nashkuru kwa kuniamini na kwa kuifurahia kazi yangu hii. Mbarikiwe sana.*


 

Thursday, July 11, 2013

MY PROJECT: INTERIOR DESIGNING & DECORATION - SITE YA MAKONGO

DESIGNER: MERCY - FANCY HOME DECOR


COLOR COMBINATION: Blue, Shanghai plum & Burple





                        This is a guest room...Color combination niliyoitumia hapa ni blue & Burple...
                        pia ili kuongezea mvuto nilibandika "wallcover"  kwanza alafu ndo ikapakwa rangi ya                         blue juu yake

                                              

                                     




                                                  Huu ni muonekano wa "Library room"...

 
    Rangi ya corridor ilikuwa ni Shanghai plum, na ndiyo niliyoitumia pia Library room kama inavyoonekana




                                                                  Inapendezaa ...


                                                            Public toilet...



                                               

Dear visitor, are you inspired??...I would like to hear from you and work with you in designing  and decorating your house in this way or another !! Lets get in touch.

For more information please contact: +255 0712 023102 

Lets decorate, Live, Relax & Enjoy.

Karibuni wote


Related Posts Plugin for Blogger...