Nilipata kazi ya ku design Curtain poles /rails pamoja na Curtain holdbacks kwa madirisha ya nyumba ya mteja wangu mmoja maeneo ya Midizini.
Tulifunga sebuleni, dining room, kitchen, master bedroom pamoja na vyumba vya watoto...kwenye uchaguzi wa design nikamshauri na akawa amezipenda design hizi hapaaa........
WEKA ODA YAKO SASA!!
CONTACTS: +255 0712 023102
Curtain Holdback design...
Curtain poles design...
Muonekano wake ukawa kama hiviiii......
Wow! Hapa zinaonekana zikiwa tayari zimeshafungwa zote...
Hongera sana mteja wangu kwa hatua kubwa uliyoifikia......Asanteh pia kwa kuifurahia na kuridhika na kazi yangu......
Dear visitor, Ikiwa umeipenda kazi yangu hii na ungetamani utengenezewe kama hivi, basi usisite kuwasiliana nami kwa kunipigia simu no: +255 0712 023102
Karibuni sana.