Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design na kubandika Wallpaper na Carpets kutoka kwa mteja wetu wa Mbezi Malamba mawili.....
Wallpaper tuliibandika sebuleni kwenye kuta 2 tofauti...ukuta wa TV na ukuta mwingine...alafu dinning room ukuta mmoja na Corridor ukuta mmoja......Carpets moja tuliweka sebuleni na lingine likakaa dinning room .
We do Interior designing....
To get our service contact us: 0712 023102