Fancy Home Decor ina design na kuuza mashuka mazuri na quality.
Haya ni baadhi tu ya mashuka tuliyokwisha kuyatengeneza na ambayo yapo tayari kwa kuuzwa. Zinapatikana katika size zote ...ni material ya cotton na inakuwa ni seti ya shuka 2 na foronya 4.
Karibu mdau ujipatie seti yako ubadilishe muonekano wa kitanda chako na kadhalika chumba chako.
Mashuka mazuri yatakufanya ujisikie vizuri wakati wa kulala na pia kuongeza mvuto chumbani.
Kitanda kikiwa kinabadilishwa kwa kutandikwa mashuka ya design na rangi mbalimbali mara kwa mara pasipo kurudia rudia shuka hilo hilo moja kila siku; ni dalili inayoonyesha kuwa wewe dada, wewe mama unajitambua, unatambua wajibu wako kama mwanamke na unajipenda!
Nunua mashuka yako mengi ya kutosha ya rangi mbalimbali na designs mbalimbali, panga vizuri kabatini alafu unakuwa unayatandika kwenye kitanda chako kwa kuyabadilisha mara kwa mara.Itapendeza sana.
Karibu sasa uweke oda yako...
Call us 0712 023102
Floral design... |
Stripes design... |
Kwa leo ntaishia hapo...ntakuwa nkiendelea kuwaonyesha na ku share designs tofauti za mashuka, duvet etc...Please keep following and stay tuned!!!