Friday, May 16, 2014
Saturday, May 10, 2014
Tuesday, May 6, 2014
MY PROJECT SITE YA MIKOCHENI...KITCHEN STAND, MICROWAVE SHELF, SPICE RACK AND SHOE RACK....
You are welcome to press your order...
Call: +255 0712 023102
Spice rack and a microwave shelf... |
Shelf ya ngazi mbili...unaweza kupanga Microwave, Rice cooker..etc...Bei: 120,000/= |
Spice rack...Price: 75,000/= |
Shoe rack ya ngazi 7 inayoingia zaidi ya pea 45 za viatu.....Bei: 180,000/= |
Stand ya jikoni ya kuwekea nazi, vitunguu, viazi, nyanya, ndizi...etc...Bei: 150,000/= |
Monday, May 5, 2014
MY PROJECT: STAND YA MAPOCHI, TISSUE HOLDER AND TOYS STAND....DELIVERED AT SINZA!!
Handbag stand in pink...Price: 160,000/= |
Hapa ikiwa imewekwa mapochi... |
Tenga la kuwekea midoli na michezo ya watoto....mteja wangu alipendelea iwe design hii ili iwe rahisi watoto kufikia....Bei:140,000/= |
Paper towel (Tissue) holder ya mezani...hii ni 2-in-1 design, kwa chini unapanga sukari, chumvi ya mezani etc....Bei: 80,000/= |
Sunday, May 4, 2014
MY PROJECT: CORNER SHELF YA SEBULENI....DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA. KARIBU KUWEKA ODA....
A beautiful corner shelf.... |
Inavoonekana kabla haijapangwa midoli.. |
Price: 180,000/=
To order please call: +255 0712 023102
Thursday, May 1, 2014
MY PROJECT: DINING TABLE OF 4 CHAIRS WITH ZEBRA CUSHIONS...DELIVERED AT UBUNGO.
Hii ni kazi yangu...ni meza ya kulia chakula, ina vioo viwili...kwa juu na chini..na viti vinne vyenye cushions za Zebra.
Fancy Home Decor inaendelea kupokea oda za kutengeneza meza za chuma...na pia meza za mbao ya mkongo, mninga...etc
Karibu kuweka oda.
Price: 980,000/=
Price: 980,000/=
Contact: +255 0712 023102
Subscribe to:
Posts (Atom)