Hii ni kazi ya Fancy Home Decor...nili design coffee table ya chuma na mbao ya mkongo, pamoja na TV show case yenye sehemu za kuwekea speaker, picha,vases za maua etc...
Karibuni kuweka oda...
Call: +255 0712 023102
TV show case & Coffee table yenye stuli zake 2 za pembeni... |
TV show case....Ina sehemu za kutosha kuweka CD, picha, vases za maua, vitabu etc...Price: 940,000/= |
Coffee table yenye top ya mbao ya mkongo...ikiwa pamoja na stuli zake 2 za pembeni.... Price: 570,000/= |