Thursday, March 20, 2014

MY PROJECT: FANCY BATHROOM SHELVES AND MIRRORS...DELIVERED AT KIGAMBONI

At Kigamboni site nilipata pia chance ya ku design unique and stylish bathroom mirrors pamoja na bathroom shelves...kwa master bedroom, public toilet, na vyumba vingine vitatu..

To place your order call or WhatsApp # 0712 023101

Follow me at Instagram @ Fancy home Decor


Kioo cha bafuni na ki shelf cha bafuni/toilet cha ngazi moja...unaweza kupanga mataulo, sabuni za kuogea, dawa za chooni, etc...Hapa vimewekwa Girls room toilet/bathroom
Shelf ya bafuni/toilet ya ngazi mbili...mataulo yamepangwa kwa juu. Hapa kimewekwa Masterbedroom toilet/bathroom
Hapa kioo na shelf vimefungwa kwenye choo/bafu la chumba cha wageni...
Hapa kimewekwa Boys room toilet/bathroom...
Hapa kioo kimewekwa juu ya sink...karibu na public toilet...
Hapa kimefungwa public toilet....

Wednesday, March 19, 2014

MY PROJECT AT KIGAMBONI - SPICE RACK, COOKING SPOONS HOLDER SAND A KITCHEN STAND...

Mbali ya ku design na kufunga mabomba ya pazia kwa mteja wangu Kigamboni, nilipata pia tenda ya kutengeneza shelf ya kuwekea viungo jikoni...stand ya kuwekea nazi, vitunguu, nyanya, viazi etc....Pamoja na Cooking spoons holder....

Asanteh mteja wangu Kwa kunipa tenda hii na kwa kuipenda kazi yangu pia.

Naendelea kupokea oda...Please call or WhatsApp # 0712 023102


  
Hii ni shelf ya kuwekea viungo jikoni...
Cooking spoons holder...
Spice rack, Cooking spoons holder and those Curtain poles were all designed by FancyHomeDecor...
Hii ni stand ya jikoni ya kuwekea nazi, viazi, vitunguu, nyanya, ndizi, etc...
Unaweza pia kuwekea na matunda...

Monday, March 10, 2014

MY PROJECT SITE YA KIGAMBONI: CURTAIN POLES, RAILS & HOLDBACKS DESIGNING..

Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii....Namshkuru pia na mteja wangu wa Kigamboni kwa kunikabidhi hii kazi na kwa kuipenda pia. 

Fancy Home Decor ili design na kufunga mabomba ya pazia pamoja na vishikio vya pazia kwa madirisha 21...downstairs and upstairs rooms...Sebule ya juu na chini, vyumbani na jikoni.
Ikiwa umeipenda design hii na ungependa kutengenezewa, usisite kuweka oda yako...

Call or WhatsApp  # 0712 023102
Follow us on Instagram @ Fancy Home decor

Karibu..


Thursday, March 6, 2014

A SHOE RACK DELIVERED TO OUR CLIENT.......AT ARUSHA.

Fancy Home Decor ilipokea oda hii ya ku design Shoe rack ya ngazi 7 inayoingia pea 42 za viatu....kutoka kwa mteja wa ARUSHA. Namshkuru Mungu Shoe rack hii ilipokamilika ilisafirishwa na kumfikia mteja wetu Arusha on time.

To place your order Call or WhatsApp # 0712 023102
Karibu..




A SHOE RACK DELIVERED TO OUR CLIENT.... AT IRINGA!!

Nilipokea oda ya ku design stand ya viatu ya ngazi 7 inayoingia  pea 56 za viatu....  kutoka Kwa mteja wetu IRINGA. Ilipokamilika tukaisafirisha na kufika salama kwa mteja wetu.

Fancy Home Decor imekuwa ikipokea oda kutoka Kwa wadau mbalimbali walioko mikoani na hata nchi za nje ya Tanzania kama vile UK. Tumeshasafirisha furnitures zetu mikoa tofauti kama vile IRINGA, MWANZA, ARUSHA, MTWARA, MOSHI etc.....

Hivyo basi ningependa kuwataarifu wote mlioko mikoani na nje ya nchi, kuwa Fancy Home Decor inaweza kuwafikia huduma popote mlipo...Choose your product na tuta design na kukusafirishia salama popote ulipo. 

To order Call or WhatsApp # 0712 023102


Monday, March 3, 2014

MY PROJET AT UPANGA: FANCY HOME DECOR DESIGNED AND DELIVERED A CORNER SHELF AND FRYING PAN HOLDER!

I would like to thank my client for placing this order and also appreciate it. I designed a Corner shelf which my client placed at the Verandah, and frying pan holder for kitchen
It looks so nice!

You may also place your order now, call or WhatsApp # 0712 023102
Also find us on # Instagram # Viber # Telegram...

Related Posts Plugin for Blogger...