Monday, September 15, 2014

KITCHEN STANDS AVAILABLE BY ORDER...

Hizi ni za stand za jikoni ambazo unaweza kupata Fancy Home Decor*.....ni baadhi ya kazi nlishawahi kuzifanya baada ya kupokea oda kutoka kwa wadau na wateja mbalimbali.......alafu nika deliver kwao sehemu tofauti na nyakati tofauti.....

.......unaweza kuwekea vitunguu, nazi, viazi, maparachichi, ndizi, machungwa, mananasi, etc...etc....etc.....Unaweza kupata katika rangi tofauti na size tofauti pia.

Price: 150,000/= ya matenga manne na 130,000/= ya matenga matatu. 

For your order Call +255 0712 023102 uletewe ulipo.


Stand hii nili deliver kwa mdau wa Mikocheni...
Hii nili deliver kwa mteja wa Kinyerezi...
Hii nili deliver kwa mteja wa Sinza...
Hii nili deliver kwa mdau wa Sinza...
Hii nili deliver kwa mteja wa Mikocheni....
Hii nili deliver kwa mteja wa Mikocheni...
Hii nili deliver kwa mdau wa Kunduchi Bahari beach
Hii nili deliver kwa mdau wa Kigamboni...
Hii nili deliver kwa mdau wa Goba....

........Karibuni sanaa.......

Friday, September 12, 2014

PROJECT YA MAPAZIA SITE YA MIKOCHENI...ALL DESIGNED BY FANCY HOME DECOR*

Mteja aliweka oda ya mapazia ya sebuleni na dinning kwa madirisha manne. Nika design na baada ya kukamilika nikaenda kumfitishia nyumbani kwake Mikocheni.

Kwa oda yako #tuwasiliane kwa namba hizi +255 0712 023102







Monday, September 8, 2014

CONSOLE TABLES DESIGNS....MODERN AND CLASSY!

Ni meza ndogo za kisasa.....usually designed to fit against a wall....looking good with a large mirror or artwork above......or a pair of chairs.

Can be placed in a living room, dining room, corridors, etc....

A must have piece of furniture at home, hotels etc....
To press your order contact +255 0712 023102

....Price depends on the design you will select. 


Friday, September 5, 2014

TV WALL CABINETS... WOODEN DESIGNS... AVAILABLE BY ORDER NOW...

Zinapatikana katika mbao zote...mninga, mkongo, mdf, mpodo, etc....
Bei‬ inategemea na aina ya mbao unataka.....pia na size ya TV wall yako.

To order Call or WhatsApp +255 0712 023102
Email: fancyhomez@gmail.com


Classy and modern design...
Also available in white...

 

MY PROJECT.......KABATI LA TV LA MBAO YA MNINGA.....DESIGNED AND DELIVERED AT TEGETA

Hii ni kazi yangu pia....ni kabati la TV lililotengenezwa kwa mbao ya *Mninga* lenye sehemu 3 za shelf unazoweza kuziunganisha pamoja kama inavoonekana na ukitaka pia unaweza kuzitenganisha!
Nilipokea oda ya kutengeneza kabati hili kutoka kwa mteja wangu wa Tegeta....
....lina sehemu ya kuwekea TV, deki, decorder, shelf 2 ambazo unaweza kuweka picha za familia, vases za maua, speakers etc...

Nili design in a way that unaweza kuli merge...yaani unaweza pia kutenganisha na ku rearrange vile unataka, hizo shelf 2 za pembeni ukaweka separate na hilo kabati la katikati.
Fancy Home Decor inapokea na oda za furniture za mbao aina yoyote... mninga, mkongo etc.. 

To press your order Call now  +255 0712 023102
Karibu.


Hapa likiwa tayari limewekwa sehemu yake...
Kabla hatujaliweka mahali pake...
Related Posts Plugin for Blogger...