Friday, September 5, 2014

MY PROJECT.......KABATI LA TV LA MBAO YA MNINGA.....DESIGNED AND DELIVERED AT TEGETA

Hii ni kazi yangu pia....ni kabati la TV lililotengenezwa kwa mbao ya *Mninga* lenye sehemu 3 za shelf unazoweza kuziunganisha pamoja kama inavoonekana na ukitaka pia unaweza kuzitenganisha!
Nilipokea oda ya kutengeneza kabati hili kutoka kwa mteja wangu wa Tegeta....
....lina sehemu ya kuwekea TV, deki, decorder, shelf 2 ambazo unaweza kuweka picha za familia, vases za maua, speakers etc...

Nili design in a way that unaweza kuli merge...yaani unaweza pia kutenganisha na ku rearrange vile unataka, hizo shelf 2 za pembeni ukaweka separate na hilo kabati la katikati.
Fancy Home Decor inapokea na oda za furniture za mbao aina yoyote... mninga, mkongo etc.. 

To press your order Call now  +255 0712 023102
Karibu.


Hapa likiwa tayari limewekwa sehemu yake...
Kabla hatujaliweka mahali pake...
Related Posts Plugin for Blogger...