Thursday, March 20, 2014

MY PROJECT: FANCY BATHROOM SHELVES AND MIRRORS...DELIVERED AT KIGAMBONI

At Kigamboni site nilipata pia chance ya ku design unique and stylish bathroom mirrors pamoja na bathroom shelves...kwa master bedroom, public toilet, na vyumba vingine vitatu..

To place your order call or WhatsApp # 0712 023101

Follow me at Instagram @ Fancy home Decor


Kioo cha bafuni na ki shelf cha bafuni/toilet cha ngazi moja...unaweza kupanga mataulo, sabuni za kuogea, dawa za chooni, etc...Hapa vimewekwa Girls room toilet/bathroom
Shelf ya bafuni/toilet ya ngazi mbili...mataulo yamepangwa kwa juu. Hapa kimewekwa Masterbedroom toilet/bathroom
Hapa kioo na shelf vimefungwa kwenye choo/bafu la chumba cha wageni...
Hapa kimewekwa Boys room toilet/bathroom...
Hapa kioo kimewekwa juu ya sink...karibu na public toilet...
Hapa kimefungwa public toilet....

Wednesday, March 19, 2014

MY PROJECT AT KIGAMBONI - SPICE RACK, COOKING SPOONS HOLDER SAND A KITCHEN STAND...

Mbali ya ku design na kufunga mabomba ya pazia kwa mteja wangu Kigamboni, nilipata pia tenda ya kutengeneza shelf ya kuwekea viungo jikoni...stand ya kuwekea nazi, vitunguu, nyanya, viazi etc....Pamoja na Cooking spoons holder....

Asanteh mteja wangu Kwa kunipa tenda hii na kwa kuipenda kazi yangu pia.

Naendelea kupokea oda...Please call or WhatsApp # 0712 023102


  
Hii ni shelf ya kuwekea viungo jikoni...
Cooking spoons holder...
Spice rack, Cooking spoons holder and those Curtain poles were all designed by FancyHomeDecor...
Hii ni stand ya jikoni ya kuwekea nazi, viazi, vitunguu, nyanya, ndizi, etc...
Unaweza pia kuwekea na matunda...
Related Posts Plugin for Blogger...