Fancy Home Decor inapokea oda za ku design kitchen aprons, pot holders& Oven gloves. ..zinapatikana katika rangi mbalimbali na patterns mbalimbali Wahi sasa kuweka oda yako!!
Fancy Home Decor pia Inahusika na kuuza na kubandika "WALLPAPERS"...
Unaweza kuweka wallpaper kwenye eneo
lako la TV na ikapendeza sana!! ..na sio tu kwenye eneo la TV, bali hata chumbani, dining, jikoni au corridor...km unavyopenda wewe!