Thursday, April 9, 2015

MY PROJECT: L SHAPE SOFA SET.....DELIVERED TO MY CUSTOMER AT MBEZI BEACH.

Kazi ya Fancy Home Decor.
Project Location: Mbezi Beach kwa mteja.

This L shape sofa set was designed, made and delivered to my customer at Mbezi Beach. 
It is a 9 seaters Sofa set...designed with cushions and 2 sets of Cushions covers

Mbali ya ku design na ku paint rangi mpya ya ukuta kwa mteja wangu huyu...pia nilimtengenezea makochi mapya design ya L shape ya watu 9...

The color of sofa fabric selected matched well with Carpet colors....cushions.... pamoja na hizo puff (Ottomans) 2 za yellow & green tulizomtengenezea.....

Covers za mito ya kukalia ya sofa niliweka zip kwa nyuma kwa urahisi wa kuzivua mteja akitaka kuzibadilisha au kuzifua 
(washable & removable covers)......

Mito midogo au cushions ni 100% fibre for easy comfort.....
foronya za mito ya kuegemea nlimtengenezea pair 3 tofauti, ili awe anaweza kubadilisha mara kwa mara na kuleta muonekano mpya sebuleni....
miguu ya sofa tuliweka ya mbao kuongeza uimara zaidi.

Karibuni sana Fancy Home Decor....
Tunatengeneza sofa za aina zote....Lshape design ....na za kawaida pia. 

To place your order Call 0712 023102

 


The yellow & green puff is also designed by Fancy Home Decor


Same L shape sofa set but different cushion covers......
Set ya pili ya cushion covers
!


Interior designing by Fancy Home Decor.




THE BEFORE & AFTER....
ilivyokuwa kabla makochi ya zamani hayajaondolewa... na baada ya kutengeneza makochi mapya design ya L shape....
Space Transformed by Fancy Home Decor...

 BEFORE meets AFTER....


Happy Customer...Thank you.

No comments:

Post a Comment