Wednesday, April 8, 2015

INTERIOR HOUSE MAKEOVER & DESIGNING - PROJECT DONE AT MBEZI BEACH..THE BEFORE & AFTER.

Namshkuru Mungu kwa kunipa project hii niliyoifanya na kuikamilisha Kwa #mteja wangu #Mbezi, wiki iliyopita...

Ilikuwa ni Interior makeover project...ya ku design na kubadilisha rangi za ukutani....sebuleni, dining room...corridor... stairway.... & jikoni.....

Tulibadilisha mapazia ya zamani na kuweka mapazia mapya pamoja na bomba za pazia za chuma...
(Curtains & Curtain rods).......

Tuliondoa makochi ya zamani na kumtengenezea Sofa mpya ...design ya L shape 9 seaters......

Tuka decorate kwa #mitungi mitano ambayo tuliweka sebuleni, dinning na corridor.....
▪Ottomans ( Puff ) 4....
▪2 decorative pots/vases.......
▪Picha za ukutani 3... ambazo 2 nilipamba sebuleni na moja dinning room.
▪3 in 1 side tables........
▪2 table centre piece decors.......pamoja na decorations nyingine.

Hizi zote nitazi post kwa awamu!..... kama njia mojawapo ya wote kujifunza na kupata ideas mpya kuhusu rangi na Interior decor....na pia... as a testimony of my work and projects that I do to my clients and which I can do to you as well!

Kwaiyo kwasasa nimeanza ku post kwanza hii Project ya #rangi tuliyoifanya.......tunaona jinsi muonekano wa nyumba unavoweza kubadilika endapo ukidhamiria kui decorate nyumba yako kwa kutuita sisi Fancy Home Decor kuja kukupatia huduma hii ya interior designing.... kama Interior designers and decorators!...
Kama vile alivyofanya mteja wangu huyu alivyoniita nikaenda na ku provide service hii ambayo baada ya kuikamilisha aliifurahia sana!!

Ok.....Basically.... nilitumia rangi 4 tu.....nlizo select.....Yellow, grey, green & broken white. 

Combination ya rangi ya #Yellow & #grey nilizi decorate sebuleni na dinning room ......

Ambapo rangi ya Yellow nilii decorate kwenye ukuta mmoja tu wa TV sebuleni (TV wall) .....na kuta nyingine zote zilizobaki za sebule na dinning room nikazi decorate kwa rangi ya #gray.......sikutaka kuchanganya sana rangi nyingi sehemu hizi....simplicity is the rule....kwaiyo nika select rangi 2 tu zikae sebuleni na dinning....and yellow & grey was the best color combination in trendy!

Ok.....Kwenye corridor na stairway nili select na ku decorate rangi ya #green......
Jikoni tukamalizia kwa kupaka rangi ya broken white kwenye kuta zote 4.......mteja wangu alikuwa hajaweka #tiles za ukutani, kwaiyo tukabadilisha ile rangi iliyokuwepo kabla ... na kumpakia nyingine mpya kulifanya jiko ling'ae zaidi na kuwa more brighter....

BEFORE mteja alikuwa amepaka rangi  moja tu ya cream kote... sebuleni, dinning, corridor,stairways & jikoni, etc...
AFTER nilipoibadilisha na tulipompakia rangi hizi 4 tofauti nlizo select.... kuzi design na kuzi decorate sehemu tofauti ......sebuleni, dinning room, corridor na jikoni....  muonekano wa nyumba ulibadilika sana na kuwa mpya....
Kama inavoonekana kwenye picha, kulipendeza mnoo! 

Kiukweli ukichanganya rangi tofauti tofauti kwenye nyumba...muonekano unakuwa mzuri zaidi na pia nyumba hauichoki haraka....muhimu tu kuzingatia ni aina gani ya rangi unazochagua kuchanganya......ziwe zinashahabiana na kuendana.... na pia zisiwe nyingi sana.....atleast not more than 4 colors! 

Kwa msaada zaidi wa kiushauri unaweza kutupigia.....nitakusaidia ku select the best colors , as well as painting ....

Call +255 0712 023102 

We offer best Interior designing service for homes, offices, etc...

Karibuni....



Hapa ni muonekano wa sebule na dinning....BEFORE & AFTER....rangi ya Yellow ni hiyo niliipaka kwenye TV wall....na rangi ya gray kwenye hizo kuta nyingine zilizobakia za sebuleni na dinning....Nice color combination!


BEFORE & AFTER.....reflection ya rangi ya yellow & gray sebuleni na rangi ya green kwenye corridor......Tunaona arrangement ya furnitures pia ikiwa imebadilika...nilibadilisha arrangement ya kabati la TV cabinet lililokuwa  kwenye corner nikaliweka sawa likae hapo ilipo saivi km inavoonekana....alafu nikaweka Mitungi miwili ya Orange & Yellow iliyokaa kulia na kushoto.....ili kuleta muonekano mzuri na combination nzuri  ya rangi ya ku match nahiyo rangi ya Yellow niliyoipaka ukutani.


BEFORE & AFTER.....Hapa tunaona arrangement ya furnitures ikiwa imebadilika... AFTER ya kumaliza kupaka rangi nikaona si vyema kabati lirudi kwenye corner kama lilivyokuwa zamani....na pia isingependeza nilirudishie kochi la zamani lililokuwa limekaa kwenye ukuta wa TV....Kwahiyo nikaliondoa kochi hilo la zamani lililokuwa imekaa kwenye huo ukuta wa TV kwa upande wa kulia.....alafu nikabadilisha arrangement ya TV cabinet iliyokuwa imekaa kwenye corner tukaiweka sawa ikae hapo ilipo saivi km inavoonekana....mwisho kabisa nkaongezea kwa kuiweka Mitungi miwili ya Orange & Yellow iliyokaa kulia na kushoto.....ili kuleta muonekano mzuri na combination nzuri  ya rangi ya ku match nahiyo rangi ya Yellow niliyoipaka ukutani. Rangi ya Yellow niliipaka kwenye ukuta wa TV tu....na ndo hapo tulipoliweka kabati la TV.




AFTER paint decoration and arrangement......na baada ya kuweka mitungi, ukutani nikabandika picha inayoendana na rangi tulizopaka ukutani...pamoja na rangi ya mitungi.....alafu nkaongezea na 3 in 1 sidetables in black color!...pamoja na red pot iliyokaa kwenye partition shelf ya mbao.....

Hapo ni dinning room....tuli decorate rangi ya gra....alafu tukaweka picha ya ukutani......mtungi wa Red ....mapazia mapya....na chuma za pazia.


Hii ni Corridor.....nili decorate kwa rangi ya green....


Hapa ni kwenye ngazi za kupandia gorofa ya juu....BEFORE & AFTER....kuta zake nili decorate pia kwa rangi ya green.....alafu nikaondoa vase ya maua ya zamani iliyokuwa imekaa kwenye corner na kubadilisha na kuweka mtungi mwingine mpya wa Yellow....

.....a closer view


...Closer view!






Hapa ni jikoni...BEFORE & AFTER...rangi tulipaka  broken white....BEFORE ukuta ulikuwa umechafuka na kuharibika kidogo...AFTER ya ku renovate na ku decorate kwa rangi mpya jiko likaonekana vizuri na kupendeza!


Happy customer....


......Asanteh mteja wangu kwa kuniamini na kunipa kazi....nashkuru pia kuwa mliipenda na kuifurahia mnooo! 
Thanx alot for choosing to work with me.......Thanx for choosing Fancy Home Decor......Thanx for working with us!
God bless you.

No comments:

Post a Comment