Sunday, March 8, 2015

MY PROJECT - MITUNGI MIWILI...ALSO DELIVERED AT KIJITONYAMA

Baada ya kumaliza kupaka rangi...ikafwata mitungi miwili ya kupambia sebuleni kwenye ukuta wa TV...mmoja wa Orange na mwingine wa green...pamoja na table centre piece ya kupambia Coffee table...
All designed and delivered to my customer at Kijitonyama...

To press your order kindly Call 0712 023102

#FancyHomeDecorProject
#MyProject #FlowerPots #InteriorDesigning #LivingRoomInsipiration