Saturday, March 7, 2015

BEFORE AND AFTER...INTERIOR PAINTING DECORATIO - SITE KIJITONYAMA

Ilikuwa ni project ya Kubadilisha muonekano wa sebule...mteja wangu alikuwa anataka #rangi hii ya yellow....so nkaingia kazini tukamaliza kazi...nahivi ndivyo ilivyokuwa #Before sijapaka rangi and #After kupaka rangi....aliipenda sana! The color has lighten up and brightening her living room and make it look more alive and inspiring...
Karibu sana kupata huduma zetu...ikiwemo ya kupakiwa rangi...

We provide #Interior designing services at affordable price...

#Call 0712 023102

#FancyHomeDecorProject #InteriorDesigning #Color #InteriorPaints #LivingRoomInspiration