Thursday, April 17, 2014

MY PROJECT: BATHROOM CORNER SHELF, MIRRORS & TOILET PAPER HOLDERS..ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT @TEGETA

Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design shelf ya bafuni yenye sehemu maalumu ya kuwekea miswaki, dawa za miswaki... sabuni,dawa za chooni,shampoo etc etc etc...Pia nili deliver na kufunga vioo viwili vya bafuni pamoja na toilet paper holders...

Vyote vinapatikana kwa bei nzuri na nafuu...wahi sasa kuweka oda yako
 
Call / WhatsApp +255 0712 023102



Kwa juu kabisa unaweza kukunja mataulo yako ukayaweka hapo....
Nili design na hichi kioo...na hapa ni master bedroom bathroom/toilet...sunflower design is so on!#
Kioo hichi nilikifunga Public toilet...
 
Toilet paper holder...in public toilet
Toilet paper holder...in master bedroom toilet

No comments:

Post a Comment