Thursday, April 17, 2014

METAL BED DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT TABATA.

Our Work....

Tunapokea oda za vitanda vyenye bomba za neti kama mnavyoona hapo kwenye picha....

Na ukiangalia kwenye madirisha pia utaona bomba za pazia...Curtain Poles, rods & Holdbacks...hizo pia ni kazi ya Fancy Home Decor.

To order please call +255 0712 023102

Karibuni..


Ni kitanda cha 5x6 size...hapa bado hakijawekwa godoro.

No comments:

Post a Comment