Thursday, December 11, 2014

OUR PROJECT: CURTAIN RODS, STRIPES CURTAINS & WHITE SHEAR CURTAINS ALL DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CUSTOMER AT UPANGA - PALM BEACH.

Fancy Home Decor inapokea oda za ku design mapazia pamoja na bomba za pazia.....

Mapazia haya pamoja na bomba zake za kuwekea pazia ni kazi ya Fancy Home Decor....Tulizifunga kwa mteja Upanga na kuyaweka sebuleni, dining pamoja na jikoni. 


For your order and delivery please Contact us: +255 0712 023102