Thursday, August 14, 2014

POLKADOTS CUSHION COVERS AND THROW PILLOWS... DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZI

Nilipokea oda ya foronya hizi za polkadots, hizo za blue...pamoja na mito hiyo ya pembeni "lumbar pillows"...kutoka kwa mteja wangu wa mbezi...
Baada ya kuzi deliver na kuipamba sebuleni kwenye makochi zilipendeza sana...
Colour combination ya foronya na accessories nyingine kama mapazia na vases za maua ilizingatiwa...

No comments:

Post a Comment