Tuesday, August 12, 2014

NILI DESIGN NA KUFUNGA CORNER SHELF HII KWENYE SALUNI YA MTEJA WANGU MWENGE!#

Fancy Home Decor* ipo kwa ajili yako mdau...
Kwa mahitaji yako yote ya furniture za nyumbani.....za saluni ....kama hizi za chuma na nyinginezo usisite kuweka oda yako kwa namba hii...+255 0712 023102.

Karibuni sana....


Tunaona dawa za nywele, mafuta, hair sprays, steaming creams etc....
Before hatujaweka vitu...
I love the colour combination...the green apple paint on the wall and the white corner shelf ...looks mmwaah!#

No comments:

Post a Comment