Friday, August 22, 2014

MY PROJECT...STAND YA MAPOCHI NA NGUO...DELIVERED KWENYE DUKA LA MTEJA WANGU MAKUMBUSHO

Kazi hii niliifanya na ku deliver kwenye boutique / clothing store ya mteja wangu Makumbusho. 
Mteja wangu alihitaji stand ya kuwekea mapochi anayouza dukani....na stand ya kuwekea nguo anazoziuza dukani kwake, hivyo akanitafuta na kunikabidhi kazi hii ambayo niliifanya na kuikabidhi kwa mteja kwake kama tulivyokubaliana on time.

Endapo nawewe mdau una boutique au unataka kufungua boutique na ungehitaji makabati ya dukani au furniture za chuma kwa kuwekea mapochi, viatu, nguo..etc... Karibu sana Fancy Home Decor* kwa huduma nzuri na bei nafuu.

Call, whatsApp or Viber +255 0712 023102
Email: fancyhomez@gmail.com

Tunatengeneza kwa oda.


No comments:

Post a Comment