Saturday, August 2, 2014

METAL BED / BEDCOVERS...ALL DESIGNED AND DELIVERED KWA MTEJA WA KIMARA.

Fancy Home Decor tulitengeneza na ku deliver kitanda hichi cha futi 5x6  nyumbani kwa mteja wetu Kimara...pamoja na mashuka haya ambayo ni seti ya mashuka mawili na foronya 4.

Karibuni wote mnaotembelea blog hii ndani ya Dar, wa mikoani na hata nje ya nchi...karibuni sana...bado tunaendelea kupokea oda zenu za vitanda size zote..vya kawaida na double deka pia.


For inquiry Call us: +255 0712 023102 or Email: fancyhomez@gmail.com


Ukiangalia utaona rangi ya kitanda ime match na rangi iliyopakwa ukutani chumbani....

No comments:

Post a Comment