Friday, July 11, 2014

KIOO KIREFU CHA KUJITAZAMA NA STAND YA KU HANG NGUO....ALL DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CLIENT AT UBUNGO EXTERNAL!

Fancy Home Decor tulipeleka na kufunga kioo hichi na stand hii kwa mteja wetu anayeishi Ubungo. Tumekuwa tukitengeneza vioo vya kujiangalia vya design mbalimbali na rangi tofauti kwa matumizi ya nyumbani na saluni pia.

Karibu mdau utuungishe nawewe...weka oda yako sasa!

Contact: +255 0712 023102






Thank you my dear client at Ubungo for loving my work....Stay blessed!

No comments:

Post a Comment