Monday, June 23, 2014

VIOO VYA KUJIANGALIA SALUNI, SHELF ZA KUWEKEA MATAULO, VIPODOZI, HAIR SHAMPOOS AND CONDITIONER...PROJECT YA KILUVYA.

Project hii ilifanyika kwenye saluni ya mteja wetu Kiluvya. Tuliweka vioo viwili vyeupe ukutani vya design ya round kulingana na alivyopenda mteja wetu. Pia tulifunga shelf 3 za kuwekea mataulo, vipodozi, shampoos na conditioner za kuoshea nywele.
Ni saluni mpya na mteja wetu ndo alikuwa ameanza kuipamba....kwa rangi nzuri ya ukutani na furnitures za kisasa na imara za chuma.

Fancy Home Decor inakusaidia kupendezesha saluni yako, nyumba yako, ofisi yako...n.k...

Contact us now to get our service: +255 0712 023102
karibuni..



Looking so lovely kwakweli!
Corner shelf nyeupe ya kuwekea mataulo ya wateja....
Shelf ya kuwekea vipodozi n.k...
Shelf inayokaa karibu na sink la kuoshea nywele wateja...unaweka shampoos za kuoshea nywele, conditioners n.k...

No comments:

Post a Comment