Wednesday, June 4, 2014

PROJECT YA MAPAZIA NA BOMBA ZA MAPAZIA...DOUBLE CURTAIN RODS & CURTAINS. SITE YA TEGETA

Mteja aliweka oda ya mapazia na bomba za mapazia. Baada ya kutoa oda hiyo, Fancy Home Decor ilimtengenezea mteja na kwenda kuyafunga mapazia pamoja na bomba zake...... double Curtain rods, poles & holdbacks... Kwa madirisha 9 ya sebuleni, vyumbani na jikoni......

Hapo kwenye picha ni muonekano wa sebule baada ya kumaliza kazi ya kuweka bomba "double" za mapazia na kufitisha mapazia yote "double" ya mbele na shear.

Kwa mahitaji ya mapazia mazuri ya nyumbani karibu Fancy Home Decor...utaweza kupata mapazia ya rangi tofauti unayopendelea wewe...na pia nitakushauri pale utakapokuwa unahitaji msaada wa kiushauri....kuhusu pazia gani nzuri kulingana na aina ya rangi za furnitures zako ...na hata rangi ya ukuta pia...

Contact us: +255 0712 023102



Tulichagua design hii ya pazia na rangi hizo ili ku match na furnitures zilizokwepo sebuleni, carpet na rangi ya ukuta pia.