Monday, May 5, 2014

MY PROJECT: STAND YA MAPOCHI, TISSUE HOLDER AND TOYS STAND....DELIVERED AT SINZA!!

Handbag stand in pink...Price: 160,000/=
Hapa ikiwa imewekwa mapochi...
Tenga la kuwekea midoli na michezo ya watoto....mteja wangu alipendelea iwe design hii ili iwe rahisi watoto kufikia....Bei:140,000/=
Paper towel (Tissue) holder ya mezani...hii ni 2-in-1 design, kwa chini unapanga sukari, chumvi ya mezani etc....Bei: 80,000/=

No comments:

Post a Comment