Thursday, May 1, 2014

MY PROJECT: DINING TABLE OF 4 CHAIRS WITH ZEBRA CUSHIONS...DELIVERED AT UBUNGO.

Hii ni kazi yangu...ni meza ya kulia chakula, ina vioo viwili...kwa juu na chini..na viti vinne vyenye cushions za Zebra.
Fancy Home Decor inaendelea kupokea oda za kutengeneza meza za chuma...na pia meza za mbao ya mkongo, mninga...etc

Karibu kuweka oda.
  
Price: 980,000/=

Contact: +255 0712 023102


No comments:

Post a Comment