Thursday, October 3, 2013

MY PROJECT: METAL HANDBAG HANGER & CD RACK - ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT IRINGA

Nilipokea oda ya ku design CD rack na hanger ya mapochi kutoka kwa mdau wa mkoani Iringa....Ndani ya siku 3 u ilikuwa tayari na tukasafirisha mzigo hadi Iringa. 

Karibu nawewe uweke oda yako...hata wewe uliye mkoani usisite kutoa oda yako maana @ Fancy Home Decor tunakufikishia popote ulipo!!

To press your order contact: 0712 023102 




Handbag hanger